

Lugha Nyingine
Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yachochea hamasa za watu kushiriki kwenye Michezo ya kwenye Barafu na Theluji (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 10, 2022
![]() |
Mtoto akijifunza kuteleza kwenye barafu katika uwanja wa michezo ya kwenye barafu na theluji wa Chaoyang Joy City hapa Beijing Februari 9. |
Tangu Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing ifunguliwe,viwanja vingi vya michezo ya kwenye barafu na theluji katika Mji wa Beijing vimepokea watu wengi ambao wanakuja kushiriki kwenye michezo ya kuteleza kwenye barafu, kucheza mpira wa magongo kwenye barafu, mchezo wa Curling na mingineyo na kuleta wimbi la kushiriki kwenye michezo ya kwenye barafu na theluji.
(Xinhua/ Mpiga picha: Li Xin)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma