Nchi ya China Inayoonekana Wakati wa Kufanyika kwa Michezo ya Olilimpiki ya Majira ya Badiri ya Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 11, 2022
 Nchi ya China Inayoonekana Wakati wa Kufanyika kwa Michezo ya Olilimpiki ya Majira ya Badiri ya Beijing

Kuanzia Tarehe 4 hadi 6, Februari, Rais Xi Jinping wa China akiwa pamoja na wageni waheshimiwa wa nchi mbalimbali wakiwemo marais na wakuu wa serikali za nchi mbalimbali, wajumbe wa nchi za kifalme, na wakurugenzi wa mashirika ya kimataifa walishiriki kwenye sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022, ambapo rais Xi aliwaandalia karamu ya kuwakaribisha, na kufanya mazungumzo ya pande mbili mbili. Wageni kutoka nchi mbalimbali walisifu sana China kwa imani yake ya kuzifungulia mlango nchi za nje, na ujasiri wake wa kuwajibika.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha