Kuwa na mshikamano na urafiki, kushirikiana kwa kuelekea siku bora zaidi za baadaye

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 14, 2022
Kuwa na mshikamano na urafiki, kushirikiana kwa kuelekea siku bora zaidi za baadaye

Kuanzia Tarehe 4 hadi 6, Februari, Rais Xi Jinping wa China akiwa pamoja na wageni waheshimiwa wa nchi mbalimbali wakiwemo marais na wakuu wa serikali za nchi mbalimbali, wajumbe wa nchi za kifalme, na wakurugenzi wa mashirika ya kimataifa walishiriki kwenye sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022,ambapo rais Xi aliwaandalia karamu ya kuwakaribisha, na kufanya mazugnumzo ya pande mbili mbili. Kufanya mazungumzo ya ukarimu moja baada ya moja, kufikia makubaliano moja baadaya moja, China inakwenda pamoja na walimwengu kwa siku bora za baadaye.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha