Haikou: Majira ya Mchipuko yaleta wakati mzuri wa kulima (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 16, 2022
Haikou: Majira ya Mchipuko yaleta wakati mzuri wa kulima

Mapema ya majira ya mchipuko, ardhi ya Mkoa wa Hainan wa China imejaa uhai, ambapo wakulima wanaoshiriki kwenye shughuli za kilimo wanaonekana kila sehemu. Tarehe 13, Februari, katika Eneo jipya la Jiangdong la Mji wa Haikou, wakulima wakilima mashambani wakati wa hali safi ya hewa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha