

Lugha Nyingine
Treni Maalumu ya kwanza ya Chongqing ya kusafirisha bure wafanyakazi wanaorudi kazini yafanya safari yake
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 18, 2022
Chini ya msingi wa kufanya vizuri kazi ya kukinga na kudhibiti maambukizi ya virusi vya korona, wafanyakazi zaidi ya 800 wanaorudi kazini walipanda treni namba D1877 bure kutoka Kituo cha Treni cha Magharibi cha Chongqing kwenda Mkoa wa Guangdong kurejea kazini. Hii ni treni maalum ya kwanza ya Chongqing ya kusafirisha wafanyakazi bila malipo kurudi kazini mwaka huu.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma