Watu washerehekea Siku ya Ushindi huko Addis Ababa, Ethiopia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 03, 2022
Watu washerehekea Siku ya Ushindi huko Addis Ababa, Ethiopia

Waethiopia Jumatano wiki hii waliadhimisha miaka 126 ya ushindi wake wa Adwa, ambao ni alama ya ushindi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki dhidi ya utawala wa kikoloni miaka 126 iliyopita. (Picha/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha