Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China laanza Mkutano wa Mwaka (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 04, 2022
Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China laanza Mkutano wa Mwaka
Mkutano wa 5 wa Kamati ya Taifa ya 13 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC) ukifunguliwa katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 4, 2022. (Xinhua)

Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China limeanza mkutano wake wa mwaka mchana wa Ijumaa hii Beijing.

Xi Jinping na viongozi wengine wa China wamehudhuria ufunguzi wa mkutano wa 5 wa Kamati ya Taifa ya 13 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC) katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing.

 Mkutano huo umejadili na kupitisha ajenda ya mkutano huo wa mwaka.

Wang Yang, mwenyekiti wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la umma la China ametoa ripoti ya kazi ya kamati ya kudumu ya baraza hilo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha