

Lugha Nyingine
Rais Xi Jinping atembelea wajumbe wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China na kushiriki kwenye mjadala wa wajumbe wa mkoa wa Mongolia ya Ndani (2)
(CRI Online) Machi 07, 2022
![]() |
(Picha inatoka Tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.) |
Rais Xi Jinping wa China Machi 7 mchana amewatembelea wajumbe kutoka sekta za kilimo, huduma za jamii, na bima za jamii wanaohudhuria kwenye Mkutano wa tano wa Baraza la 13 la Mashauriano ya Kisiasa la China.
Pia rais Xi ameshiriki katika majadiliano kwenye kikundi cha wajumbe hao, na kusikiliza maoni na mapendekezo yao.
Na rais Xi ameshiriki kwenye mjadala wa wajumbe wa mkoa wa Mongolia ya Ndani.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma