

Lugha Nyingine
Bei ya petroli nchini Marekani yaongezeka hadi kiwango cha juu zaidi tangu 2008 (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 08, 2022
![]() |
Hiki ni kituo kimoja cha kuuza petroli katika Millbrae, Eneo la Ghuba ya San Francisco, Marekani na picha ilipigwa Machi 6. (Xinhua/ Li Jianguo) |
Takwimu zilizotolewa na Shirikisho la Magari la Marekani Tarehe 6 zilionesha kuwa wastani wa bei ya petroli huko Marekani uliongezeka hadi dola za Marekani 4.01 kwa galoni siku hiyo ambacho ni kiwango cha juu zaidi tangu Julai 2008.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma