Waziri Mkuu wa China akutana na waandishi wa habari baada ya Mkutano wa mwaka wa Kutunga Sheria (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 11, 2022
Waziri Mkuu wa China akutana na waandishi wa habari baada ya Mkutano wa mwaka wa Kutunga Sheria
Waandishi wa habari wakihudhuria mkutano ulioitishwa na Waziri Mkuu wa Li Keqiang kwa kupitia video baada ya ufungaji wa Mkutano wa tano wa Bunge la Umma la China (NPC) hapa Beijing, Machi 11, 2022. (Xinhua)

Waziri Mkuu wa China Li Keqiang akiitisha mkutano na waandishi wa habari Ijumaa baada ya ufungaji wa mkutano wa tano wa Bunge la Umma la 13 la China.

Waziri Mkuu alijibu maswali ya waandishi wa habari wa ndani na nje ya China kwa kupitia video.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha