China yatekeleza hatua zinazotofautiana za kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 kwenye viwanda ili kuhakikisha kuendelea kwa uzalishaji

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 29, 2022
China yatekeleza hatua zinazotofautiana za kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 kwenye viwanda ili kuhakikisha kuendelea kwa uzalishaji
Mfanyakazi akifanya kazi katika karakana ya kampuni ya TBEA ya Shenyang ya Mkoa wa Liaoning, Kaskazini Mashariki mwa China, Machi 27, 2022.

China imetekeleza hatua zinazotofautiana za kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 kwenye viwanda ili kuhakikisha kuendelea kwa uzalishaji kwa utulivu katika karakana za viwanda muhimu, na ujenzi wa miradi muhimu nchini kote.

Katika kipindi cha zaidi ya miaka miwili iliyopita, sera ya China ya “maambukizi sifuri ya UVIKO” yenye sifa za kuitikia kwa kasi, upimaji wa umma na udungaji chanjo wa idadi kubwa ya watu, siyo tu imezuia vifo vingi nchini humu, bali pia imehakikisha viwanda vinaweza kuwasilisha bidhaa toka zile za barakoa hadi za Teslas kwa wateja kote duniani (Picha/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha