Watu wakumbuka Mashujaa waliojitolea mihanga wakati wa kuwadia kwa Siku ya Qingming (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 02, 2022
Watu wakumbuka Mashujaa waliojitolea mihanga wakati wa kuwadia kwa Siku ya Qingming
Tarehe Mosi, Aprili, mwalimu akiongoza mwanafunzi huyu kukumbuka mashujaa waliojitolea mihanga kwa kupitia mtandao wa internet katika shule ya Huifeng ya Mji wa Qianxi, Mkoa wa Guizhou, China. (Picha inatoka Xinhua.)

Wakati wa kuwadia kwa siku ya Qingming, watu wanakumbuka mashujaa waliojitolea mihanga kwenye makaburi ya mashujaa au kwa kupitia mtandao wa kumbukumbu za mashujaa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha