

Lugha Nyingine
Shanghai yabadilisha Kituo cha Taifa cha Maonesho na Mikutano kuwa Hospitali ya muda
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 07, 2022
Watu wakifanya kazi katika Kituo cha Taifa cha Maonesho na Mikutano cha Shanghai, Mashariki mwa China, Aprili 6, 2022. (Xinhua/Ding Ting)
Shanghai inabadilisha Kituo cha Taifa cha Maonesho na Mikutano (NECC) kuwa hospitali ya muda ambayo inapangwa kuwa na uwezo wa vitanda 40,000. Itakapokamilika, hospitali hiyo inatarajiwa kuwa hospitali kubwa zaidi ya kutibu magonjwa wanaothibitishwa kuambukizwa virusi vya korona katika jiji hilo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma