Kazi ya kupanda mbegu za pamba yaanza huko Xinjiang katika majira ya mchipuko (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 11, 2022
Kazi ya kupanda mbegu za pamba yaanza huko Xinjiang katika majira ya mchipuko

Sambamba na kuongezeka kwa halijoto, mashamba mbalimbali ya pamba ya Xinjiang yameanzisha kazi za kupanda pamba wakati wa majira ya mchipuko. Katika majira hayo yanayofaa kulima, wakulima wa makabila mbalimbali wanajitahidi kufanya kazi mashambani. Mashine za kisasa za kilimo pia zinafanya kazi vizuri katika mashamba ya pamba, yakionesha ubora wa teknolojia ya kilimo. (Picha zinatoka Xinhua.)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha