

Lugha Nyingine
Hospitali ya muda ya Kituo cha Mikutano cha Taifa huko Shanghai katika asubuhi mapema (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 12, 2022
![]() |
Picha iliyopigwa tarehe 11, Aprili ikionesha hospitali ya muda iliyojengwa kwenye eneo la Kituo cha Mikutano cha Taifa (Shanghai). (Picha/Xinhua) |
Asubuhi mapema ya tarehe 11, Aprili, katika sehemu ya hospitali hiyo ya muda ambayo bado haijakabidhiwa iliyojengwa kwenye eneo la Kituo cha Mikutano cha Taifa (Shanghai), wafanyakazi wanajitahidi kufanya ujenzi kwa haraka, ili kukamilisha hospitali muhimu ya muda ya Shanghai mapema iwezekanavyo. Tarehe 9, kazi ya ukarabati wa ukumbi wa 3 imemalizwa, na madaktari na wauguzi wakiingia ndani mara wameanza kutibu wagonjwa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma