

Lugha Nyingine
Mandhari nzuri ya majira ya mchipuko katika Bustani ya Yuyuantan ya Beijing (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 13, 2022
![]() |
Watalii wakifurahia mandhari nzuri ya majira ya mchipuko na matembezi katika Bustani ya Yuyuantan ya Beijing. (Mpiga picha: Bi Shanghong) |
Maua ya aina mbalimbali yanachanua vizuri kwenye Bustani ya Yuyuantan. Mandhari hii kama picha za kuchorwa inawavutia watalii wengi kuja kuitazama na kujiburudisha.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma