Tiara yenye muundo wa Kituo cha Anga ya Juu cha China yakaribisha kurejea duniani kwa wanaanga watatu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 20, 2022
Tiara yenye muundo wa Kituo cha Anga ya Juu cha China yakaribisha kurejea duniani kwa wanaanga watatu

Tiara yenye muundo wa Tiangong yaani Kituo cha anga ya juu cha China ikiruka angani ili kusherehekea kurejea duniani kwa mafanikio wanaanga watatu huko Weifang, mji unaojulikana kama mji wa tiara wa China, katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Aprili 18, 2022. (Picha zinatoka VCG.)

Tiara hii inaonesha mchakato wa muunganiko wa chombo cha Shenzhou-13 cha China na Kituo cha anga ya juu cha Tiangong na mwanaanga akitembea nje ya chombo kwenye anga ya juu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha