Maonyesho ya fashifashi yafanyika Wilaya ya Yamanashi, Japan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 24, 2022
Maonyesho ya fashifashi yafanyika Wilaya ya Yamanashi, Japan
Watu wakitazama fashifashi chini ya Mlima wa Fuji wa Mkoa wa Yamanashi, Japan Aprili 23.

Siku hiyo, maonyesho ya fashifashi ya “hali ya ajabu kabisa ya fashifashi za kung’ara na kuvutia " yalifanyika katika Kijiji cha Naruzawa ya Wilaya ya Nanturyu, Mkoa wa Yamanashi, Japani. Takriban fashifashi10,000 zilimulika angani chini ya Mlima Fuji, na kuleta hali ya kushangaza na kufurahisha watazamaji.  

(Mpiga picha: Zhang Xiaoyu/ Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha