Pepo ya Bustani ya Panda katika Majira ya Mchipuko

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 25, 2022
Pepo ya Bustani ya Panda katika Majira ya Mchipuko
Panda akicheza kwenye ya mti katika kituo cha Shenshuping, Wolong katika Kituo cha Uhifadhi na Utafiti wa Panda cha China, Aprili 24.

Wakati wa majira ya mchipuko hali ya hewa ni safi, panda kwenye kituo hicho wanapumzika, kucheza au kujiburudisha na majira haya mazuri.

(Mpiga picha: Xu Bingjie/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha