Mandhari nzuri ya majira ya mchipuko katika Bustani ya Gulhane, Istanbul (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 26, 2022
Mandhari nzuri ya majira ya mchipuko katika Bustani ya Gulhane, Istanbul
Picha ilipigwa Aprili 25 ikionesha maua ya Tulips katika Bustani ya Gulhane huko Istanbul, Uturuki.

Siku za hivi karibuni, maua ya Bustani ya Gulhane yamechanua vizuri na kuwavutia watalii wengi kuja kuitazama. Bustani hiyo iko katikati ya mji wa Istanbul na karibu na Jumba la Topkapi, ambalo iliwahi kuwa bustani ya nje ya Kasri la Topkapi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha