Magari ya kusafirisha mboga moja kwa moja kwa maeneo ya makazi yahakikisha utoaji wa mahitaji muhimu Beijing (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 28, 2022
Magari ya kusafirisha mboga moja kwa moja kwa maeneo ya  makazi yahakikisha utoaji wa mahitaji muhimu Beijing
Mfanyakazi akipanga mboga katika mafungu kwenye kituo cha Magari ya kusafirisha moja kwa moja mboga kwa eneo la makazi la kusini mwa Mtaa wa Beixiaguan wa Eneo la Haidian, mjini Beijing Aprili 27.

Vituo 11 vya Magari ya kusafirisha moja kwa moja mboga kwa maeneo ya makazi ya Mtaa wa Beixiaguan wa Eneo la Haidian la Beijing viliongeza utoaji wa mboga, matunda na mahitaji mengine, na kuongeza muda wa kazi yao ili kuhakikisha mahitaji ya kila siku ya wakazi, Aprili 27. (Mpiga picha: Ren Chao/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha