Timu ya utafiti wa kisayansi wa Mlima Everest yafanikiwa kufika kileleni

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 05, 2022
Timu ya utafiti wa kisayansi wa Mlima Everest yafanikiwa kufika kileleni
Watafiti wa Timu ya utafiti wa kisayansi wakiwa wamefika kwenye kilele cha Mlima Everest Tarehe 4, Mei.

Mchana wa siku hiyo, watafiti wa timu ya China ya utafiti wa kisayansi katika Mlima Everest ilifanikiwa kufika kileleni, na kutumia kwa mara ya kwanza rada ya kuona kwa usahihi wa hali ya juu kupima unene wa theluji na barafu kwenye kilele.

(Mpiga picha: Solang Dorje/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha