Timu ya utafiti wa kisayansi wa China yarudi salama kwenye kambi chini ya Mlima Qomolangma (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 06, 2022
Timu ya utafiti wa kisayansi wa China yarudi salama kwenye kambi chini ya Mlima Qomolangma
Watu wa timu ya utafiti wa kisayansi wa China wakirudi kambi chini ya Mlima Qomolangma Mei 5, 2022. (Picha/Xinhua)

Timu ya utafiti wa kisayansi wa China Alhamisi ilirudi salama kwenye kambi chini ya Mlima Qomolangma baada ya kufikia kilele kirefu zaidi duniani.

Watu wote 13 wa timu hiyo wana hali njema ya afya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha