

Lugha Nyingine
Ethiopia yasherehekea “Siku ya Wazalendo” (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 07, 2022
![]() |
Rais wa Ethiopia Sahle-Work Zewde akitoa hotuba kwenye sherehe ya kuadhimisha "Siku ya Wazalendo" ya nchi hiyo. (Picha inatoka tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.) |
Tarehe 5, Mei, watu walishiriki kwenye shughuli za kuadhimisha “Siku ya Wazalendo” huko Addis Ababa, Mji Mkuu wa Ethiopia. Siku hiyo, Ethiopia ilisherehekea “Siku ya Wazalendo” ya 81. Mwezi Mei 5, 1941, wazalendo wa Ethiopia walikuwa wameshinda wavamizi wa Italia chini ya msaada wa jeshi la washirika wao, ambapo Mfalme Haile Selassie I alirudi Addis Ababa akawa mfalme tena. Tangu hapo, Mei 5 imeamuliwa kuwa “Siku ya Wazalendo” ya Ethiopia.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma