Romania yaadhimisha Siku ya Mavazi ya kikabila

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 10, 2022
Romania yaadhimisha Siku ya Mavazi ya kikabila
Wanawake waliovaa mavazi ya kijadi wakishiriki kwenye shughuli ya Siku ya Mavazi ya kikabila huko Bucharest, Mji Mkuu wa Romania, Mei 8.  

Siku hiyo, shughuli ya Siku ya Mavazi ya kikabila ilifanyika katika Bucharest, watu walioshiriki kwenye shughuli hiyo walivaa mavazi ya makabila mbalimbali wakionesha mavazi ya maeneo tofauti ya Romania. (Mpiga picha: Cristel/Xinhua )

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha