Kulungu wa Uingereza akizurura kwenye bahari ya maua ya zambarau kama muonekano wa hadithi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 11, 2022
Kulungu wa Uingereza akizurura kwenye bahari ya maua ya zambarau kama muonekano wa hadithi

Kwa mujibu wa habari zilizoripotiwa Mei 11, katika nyasi za bluebell kando ya Mto Chess karibu na Latimer, Buckinghamshire, Uingereza, kulungu alionekana akizurura katika bahari ya maua, na hali hiyo ilikuwa ni kama eneo la hadithi. (Picha kutoka CFP)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha