

Lugha Nyingine
Kampuni zaanzisha tena hatua kwa hatua uendeshaji wao kawaida huko Shanghai
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 17, 2022
![]() |
Wakazi wakinunua vitu kwenye supamaketi ya Fengjing, eneo la Jinshan la Shanghai, Mei 16, 2022. (Picha/Xinhua) |
Shanghai inahimiza kurudia kwenye hali ya kawaida kwa biashara na masoko kwa vipindi tofauti kuanzia Jumatatu wiki hii. Supamaketi, maduka makubwa, famasi, masoko ya mazao ya kilimo, migahawa na saluni za kinyozi vinafunguliwa tena hatua kwa hatua katika hali ya kawaida.
Kampuni mbalimbali zitashikilia kanuni za “kufunguliwa tena kwa utaratibu, kuweka ukomo kwa mzunguko wa wateja, kudhibiti kwa ufanisi, kusimamia kwa aina tofauti” huku zikitekeleza hatua za kukinga na kudhibiti maambukizi ya virusi vya korona.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma