Mkutano wa Maadhimisho ya miaka 70 ya Kamati ya China ya Uhimizaji wa Biashara Duniani na mkutano wa kilele wa kuhimiza uwekezaji na biashara duniani wafanyika Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 19, 2022
Mkutano wa Maadhimisho ya miaka 70 ya Kamati ya China ya Uhimizaji wa Biashara Duniani na mkutano wa kilele wa kuhimiza uwekezaji na biashara duniani wafanyika Beijing
Washiriki wakifanya mazungumzo kabla ya kuanza kwa mkutano huo Mei 18.

Siku hiyo, mkutano wa kuadhimisha miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Kamati ya China ya Uhimizaji wa Biashara Duniani na mkutano wa kilele wa kuhimiza uwekezaji na biashara duniani ulifanyika hapa Beijing.

Mada ya mkutano huo wa kilele ni “kukusanya nguvu ya kuhimiza biashara, na kuhimiza pamoja kufungua mlango na maendeleo”. Viongozi husika wa China, wakuu wa mashirika ya kimataifa, wawakilishi wa mashirika ya biashara na ya uhimizaji wa biashara, wajumbe wa makampuni wapatao elfu 11 walihudhuria kwenye mkutano huo kwa njia ya video na kwenye ukumbi wa mkutano.

Kamati ya China ya Uhimizaji wa Biashara Duniani ikiwa kwa niaba ya wafanyabiashara waliohudhuria mkutano ilitoa “Pendekezo la Beijing la mkutano wa kilele wa kuhimiza uwekezaji na biashara duniani”. (Mpiga picha:Li Xin/Xinhua) 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha