Shanghai yaanza kurudisha mawasiliano ya umma barabarani ya kuvuka maeneo (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 23, 2022
Shanghai yaanza kurudisha mawasiliano ya umma barabarani ya kuvuka maeneo
Abiria akionesha alama yake ya QR kwenye basi huko Shanghai, China, Mei 22, 2022.

Shanghai ilianza kurudisha mawasiliano barabarani ya kuenda maeneo mbalimbali ya kiini cha mji kuanzia Jumapili.

Huduma za usafiri kwenye njia nne za sabwei na njia 273 za mabasi zilirudi kwenye hali ya kawaida Jumapili, ikihusisha eneo la kiini cha mji na uwanja wa ndege, vituo vya treni, na hospitali za mjini. Abiria wanaruhusiwa kupanda mabasi au ndege baada ya kuonesha simu zao za mkononi kuhusu alama za upimaji wa virusi ndani ya masaa 48. (Picha zinatoka Shirika la Habari la China Xinhua.)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha