Majumba ya kiutamaduni yafunguliwa tena kwa utaratibu Beijing (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 02, 2022
Majumba ya kiutamaduni yafunguliwa tena kwa utaratibu Beijing
Tarehe 1, Juni, mtoto akipigiwa picha kwenye Jumba la Makumbusho la Filamu la China.

Hivi karibuni, chini ya hali ya kudhibiti vizuri maambukizi ya virusi vya korona katika kila eneo na kila ngazi, maktaba, majumba ya makumbusho, sinema, majumba ya uchoraji wa picha, majumba ya burudani na majumba ya kufanya mazoezi yasiyo chini ya ardhi yamefunguliwa tena kwenye maeneo ya Beijing kwenye msingi wa kutogunduliwa kwa wagonjwa wapya kwenye maeneo ya makazi kwa siku 7 mfululizo, na kuweka ukomo wa kuruhusu asilimia 50 tu ya watu kuingia ndani kwa zamu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha