Chumba cha mtihani katika sehemu ya usimamizi na udhibiti ya Beijing (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 06, 2022
Chumba cha mtihani katika sehemu ya usimamizi na udhibiti ya Beijing
Hiki ni chumba cha mtihani katika sehemu moja ya usimamizi na udhibiti ya Eneo la Chaoyang la Beijing. (Picha iliyopigwa Juni 5.)

Mtihani wa kuingia chuo kikuu cha Beijing utaanza Juni 7. Mwaka huu, Beijing inachagua hoteli au shule zinazofaa kwa hali ya malazi na chakula ili kuweka vituo vya mtihani vya usimamizi na udhibiti, ambavyo vitatumika kuwapanga wanafunzi washiriki wa mtihani walioko katika sehemu ya usimamizi na udhibiti, na kutoa huduma kamili ya "chakula, malazi, usafiri na kufanya mtihani". (Mpiga picha: Peng Ziyang)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha