Mbio za Ngalawa za Dragon zafanyika sehemu mbalimbali za China wakati wa likizo

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 06, 2022
Mbio za Ngalawa za Dragon zafanyika sehemu mbalimbali za China wakati wa likizo
Picha iliyopigwa Juni 3, 2022 ikionesha watu wakishiriki kwenye mbio ya ngalawa za dragon wakati wa likizo ya Sikukuu ya Duanwu ya China huko Taizhou, Mkoa wa Jiangsu wa Mashariki mwa China. (Picha/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha