Jubilee ya Miaka 70 ya Malkia wa Uingereza Yafanyika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 07, 2022
Jubilee ya Miaka 70 ya Malkia wa Uingereza Yafanyika
Watu wakitazama maandamano ya watu waliopanda magari yenye mapambo huko London, Uingereza, Juni 5.

Kuanzia tarehe 2 hadi 5, nchini Uingereza zilifanyika shughuli mfululizo za gwaride, hafla ya shukrani kanisani, tamasha kubwa la muziki na maandamano ya watu waliopanda magari yenye mapambo kwa ajili ya Jubilee ya miaka 70 ya Malkia Elizabeth II. (Tim Ireland/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha