Beijing: Kasri la Ufalme lafunguliwa tena (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 08, 2022
Beijing: Kasri la Ufalme lafunguliwa tena

Juni 7, 2022 Kasri la Ufalme lilifunguliwa tena hapa Beijing. Inafahamika kwamba wakati wa kufunguliwa, Kasri la Ufalme litaweka ukomo wa kupokea asilimia 75 ya watalii kila baada ya muda, na watalii wanapoingia kasri hilo lazima waoneshe kwanza matokeo ya kipimo cha virusi vya korona ndani ya masaa 72 na kupimwa joto mwilini na kukaguliwa code ya afya. (Mpiga picha: Du Jianpo/Tovuti ya Picha ya Umma)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha