

Lugha Nyingine
Matumbawe yapandwa ili kulinda viumbe baharini huko Hainan, China (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 09, 2022
![]() |
Watafiti na wafanyakazi wakipandikiza matumbawe baharini kwenye Kisiwa cha Fenjiezhou, Mkoa wa Hainan wa Kusini mwa China, Juni 7, 2022. |
Tarehe 8, Juni ni Siku ya Bahari Duniani. Ili kulinda mazingira ya viumbe hai baharini huko, Mamlaka ya maeneo ya vivutio ya Fenjiezhou, pamoja na watafiti wa bahari na uvuvi, wamekuwa wakipanda na kupandikiza matumbawe tokea Mwaka 2004. Baada ya kulinda na kurejesha hali ya mazingira ya asili kwa miaka mingi, eneo lenye kufunikwa kwa matumbawe kwenye Kisiwa cha Fenjiezhou limeongezeka. Uboreshaji wa mazingira ya mfumo wa ikolojia chini ya bahari umevutia viumbe wengi zaidi wa bahari. (Picha/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma