Maua ya hariri yatumiwa kuwaomboleza waathiriwa wa nguvu ya mabavu ya bunduki Washington, Marekani (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 09, 2022
Maua ya hariri yatumiwa kuwaomboleza waathiriwa wa nguvu ya mabavu ya bunduki Washington, Marekani
Picha hii iliyopigwa Juni 6 ikionesha maua ya hariri karibu na Mnara wa Washington wa Marekani.

Juzijuzi Washington, mji mkuu wa Marekani ilifunguliwa kwa "mrana wa kumbukumbu za madhara ya Bunduki" . Waandaji walifahamisha kuwa, maua ya hariri 45,000 yaliwekwa karibu na Mnara wa Washington ili kuwaomboleza waathiriwa wa madhara ya bunduki nchini Marekani, kuonyesha hali nzito ya madhara ya bunduki, na kuitaka Washington kuacha hali ya kutochukua hatua yoyote dhidi ya madhara hayo.

(Mpiga picha: Aaron/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha