Kuchangia damu kwa hamasa (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 14, 2022
Kuchangia damu kwa hamasa
Juni 13, mtu akionesha cheti cha kujitolea damu baada ya kutoa damu katika kituo cha kujitolea damu cha Mji wa Qianxi, Mkoa wa Guizhou.

Tarehe 14 Juni ni Siku ya kuchangia damu ya Kimataifa inakaribia kuwadia, watu wenye upendo wa sehemu mbalimbali wanajitolea damu kwa hamasa.

(Mpiga picha: Meng Zhongde/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha