

Lugha Nyingine
Daraja la pili la Mto Hanjiang huko Yicheng mkoani Hubei litazinduliwa (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 14, 2022
![]() |
Juni 13, 2022, Daraja la pili la Mto Hanjiang huko Yicheng mkoani Hubei likifungwa taa za barabarani na kuchora mistari ya alama kwenye barabara, ambapo maandalizi ya mwisho yanafanyika kwa ajili ya kuzinduliwa kwa daraja hilo Julai 1. (Mpiga picha: Zheng Xintao/Tovuti ya Picha ya Umma)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma