Wakulima wakivuna ngano ya majira ya baridi katika Kijiji cha Gaomiaoli, Shandong nchini China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 14, 2022
Wakulima wakivuna ngano ya majira ya baridi katika Kijiji cha Gaomiaoli, Shandong nchini China
Picha iliyopigwa kutoka juu ikionyesha wanakijiji wakikausha ngano katika Kijiji cha Dalijia cha Mji wa Shangzhuang huko Rongcheng, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Juni 13, 2022.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha