Ukuta Mkuu wa Milima Jinshan wa Chengde mkoani Hebei unaonekana kwenye mandhari nzuri ya mawingu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 15, 2022
Ukuta Mkuu wa Milima Jinshan wa Chengde mkoani Hebei  unaonekana kwenye mandhari nzuri ya mawingu

Juni 14, 2022, baada ya kunyesha mvua asubuhi, Ukuta Mkuu wa Milima Jinshan huko Wilaya ya Luanping ya Mji wa Chengde mkoani Hebei ulionekana uko kwenye mandhari nzuri ya mawingu.

(Mpiga picha: Zhou Wanping/Tovuti ya Picha ya Umma)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha