Uwanja wa Ndege wa kwanza wa kazi maalumu ya uchukuzi wa bidhaa wa China utazinduliwa (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 15, 2022
Uwanja wa Ndege wa kwanza wa kazi maalumu ya uchukuzi wa bidhaa wa China utazinduliwa

Juni 14, picha iliyopigwa kutoka juu ikionesha kituo cha kupitisha mizigo cha Shunfeng kwenye Uwanja wa Ndege wa Huahu wa Mji wa Ezhou. Siku za hivi karibuni, Uwanja wa Ndege wa Huahu wa Mji wa Ezhou ulipita ukaguzi wa pili uliofanywa na idara ya usafiri wa ndege za abiria na utaanza kufanya kazi. Kwenye Uwanja wa Ndege wa Huahu wa Mji wa Ezhou kuna kituo cha uchukuzi wa mizigo chenye eneo la mita za mraba elfu 23, na njia mbili za ndege ambazo kila moja ni yenye urefu wa mita 3600 na upana wa mita 45, uwanja huo ni Uwanja wa Ndege wa kwanza wa kazi maalumu ya uchukuzi wa bidhaa wa China. (Mpiga picha: Zhang Chang/Chinanews)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha