Mwezi mkubwa (supermoon) waangaza anga la usiku kote duniani (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 15, 2022
Mwezi mkubwa (supermoon) waangaza anga la usiku kote duniani
Mwezi mkubwa mzima ukionekana juu ya Hekalu la Poseidon kwenye rasi ya Sounion, takriban umbali wa kilomita 70 Kusini Mashariki mwa Athens, Ugiriki, Tarehe 14 Juni 2022. (Xinhua/Marios Lolos)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha