

Lugha Nyingine
Matangazo ya kuadhimisha miaka 25 tangu Hong Kong irudi China yaonekana kwenye maeneo mengi huko Hongkong (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 16, 2022
![]() |
Picha ikionesha tangazo la kuadhimisha miaka 25 tangu Hong Kong irudi China kwenye kando ya handaki ya chini ya bahari ya Eneo la Magharibi, Hongkong. (Picha na Li Zhihua/Chinanews) |
Juni 15, shughuli mfululizo za kuadhimisha miaka 25 tangu Hong Kong irudi China zinaanza kufanyika kwa mfululizo, katika maeneo mengi ya Hong Kong yamewekwa mabango ya matangazo ya kuadhimisha miaka 25 ya Hong Kong irudi China kwenye sehemu wazi ambayo inaongeza hali motomoto ya maadhimisho.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma