Maonyesho ya Metaverse kwa Mwaka 2022 yafanyika Korea Kusini

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 16, 2022
Maonyesho ya Metaverse kwa Mwaka 2022  yafanyika Korea Kusini
Mshiriki wa maonyesho ya uhalisia pepe kwa teknolojia ya kiwango cha juu ya Metaverse 2022 akionyesha teknolojia ya uhalisia pepe kwa shule wakati wa Maonyesho ya Metaverse 2022 yaliyofanyika Seoul, Korea Kusini, Juni 15, 2022. Maonyesho hayo yanafanyika kwenye Kituo cha Mikutano na Maonyesho cha Coex kuanzia Juni 15 hadi 17, yakiwaonesha watembeleaji teknolojia ya hali ya juu katika hali mbalimbali. (Xinhua/Wang Yiliang)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha