Mapacha wa kike wa China washinda medali ya dhahabu ya kwanza kwa Timu ya China katika Mashindano ya uogeleaji ya dunia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 20, 2022
Mapacha wa kike wa China washinda medali ya dhahabu ya kwanza kwa Timu ya China katika Mashindano ya uogeleaji ya dunia
Juni 19, Wang Liuyi/ Wang Qianyi wakiwa kwenye mchezo. (Picha na Attila Volgyi/Xinhua)

Juni 19, Mashindano ya 19 ya uogeleaji ya Dunia yalifanya fainali ya mchezo wa kuogelea kwa mtindo huria kwa waogeleaji wawili wawili na kujichagua ufundi, na mapacha wa kike wa China Wang Liuyi na Wang Qianyi walitwaa medali ya dhahabu ambayo pia ni medali ya dhahabu ya kwanza kwa Timu ya China kwenye mashindano hayo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha