Bandari ya Victoria ya Hong Kong yaadhimisha siku ya kurudi China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 21, 2022
Bandari ya Victoria ya Hong Kong yaadhimisha siku ya kurudi China
(Picha inatoka Chinanews.)

Siku ya maadhimisho ya miaka 25 ya Hong Kong kurudi China inawadia. Wakati wa usiku wa tarehe 20, Juni, majengo karibu na bandari ya Victoria ya Hong Kong yanaangaza kwa taa nyingi zinazometameta kwa rangi, huku kwenye skrini za kutani za baadhi ya majengo yakitangaza habari kuhusu kuadhimisha siku ya kurudi China kwa Hong Kong.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha