Mandhari ya Bwawa la Hifadhi ya Maji la Xiaxi huko Guizhou, Kusini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 22, 2022
Mandhari ya Bwawa la Hifadhi ya Maji la Xiaxi huko Guizhou, Kusini Magharibi mwa China

Picha iliyopigwa Tarehe 21 Juni 2022 kutoka juu ikionyesha mandhari ya Bwawa la Hifadhi ya Maji la Xiaxi kwenye Wilaya ya Cengong, eneo la Qiandongnan, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China. (Xinhua/Yang Ying)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha