China yafaulu kurusha satelaiti ya majaribio ya Tianxing No.1

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 23, 2022
China yafaulu kurusha satelaiti ya majaribio ya Tianxing No.1

Saa 4:08 asubuhi ya tarehe 22, Juni China ilifaulu kurusha satelaiti ya majaribio ya Tianxing No.1 kwa maroketi ya Kuaizhou No.1 A kutoka kituo cha kurusha satelaiti ya Jiuquan. Satelaiti hiyo imeingia vizuri kwenye obiti iliyopangiwa katika anga ya juu na kazi hii ya kurusha satelaiti imepata mafanikio mazuri. (Picha ilipigwa na Wang Jiangbo.)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha