

Lugha Nyingine
Majumba ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto na ya baridi ya Beijing zawasha taa ili kukaribisha Siku ya Olimpiki ya Kimataifa (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 24, 2022
Siku hiyo, mji wa Beijing ambao ni mji ulioandaa Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto na ya baridi, ulikaribisha kwa mara ya kwanza Siku ya Olimpiki ya Kimataifa baada ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing.
Majumba hayo ya michezo yakiwa alama za “mji uliowahi kuandaa Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto na ya baridi”, kama vile “Utepe wa Barafu”, “Kiota cha Ndege”, “Mchemraba wa Barafu” yaliwasha taa pamoja ili kuenzi moyo wa Olimpiki, kutoa wito kwa watu kushiriki kwenye michezo na kuishi maisha kwa afya njema na kujenga siku nzuri za baadaye.
(Picha na Zhang Chenlin/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma