Shughuli ya watu wanaovaa mavazi ya Enzi ya Han yafanyika Chengdu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 27, 2022
Shughuli ya watu wanaovaa mavazi ya Enzi ya Han yafanyika Chengdu

Juni 25, shughuli ya watu waliovaa mavazi ya Enzi ya Han ilifanyika katika mtaa wa mashariki ya Yulin, mji wa Chengdu, Mkoa wa Sichuan ambao mashabiki 30 wa mavazi ya Enzi ya Han walitembea kwenye mtaa wakivaa mavazi ya Enzi ya Han na kuwavutia watu waliopita huko. (Picha naYu Xuan/Chinanews)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha